Radio Free Africa Limited. Copyright @ 2008. All rights reserved
Mahakama ya Kadhi yazikwa rasmi.
SERIKALI imetoa kauli ya kusitisha kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi nchini na sasa mfumo mpya wa sheria wa kukidhi haja ya jamii ya Waislamu, utaingizwa katika sheria za nchi katika mwaka huu wa fedha.
Sambamba na hilo, imetangaza nia ya kubadilisha mfumo wa kujiunga na Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (Law School), ambapo si wanafunzi wote waliomaliza shahada ya kwanza ya Sheria watakaoruhusiwa kujiunga nayo, huku ikiweka wazi idadi ya talaka zilizotolewa mwaka jana na mzigo wa kesi ‘unavyoiumiza’ Mahakama nchini. ... . Habari zaidi
Na Mwandishi Maalum, Dodoma.
RADIO FREE AFRICA- NEWS HEADLINES
Maafisa nchini Iran waondoa uwezekano wa kufuta matokeo.
Email: info@radiofreeafricatz.com
Picha hii inawaonyesha waungaji mkono kiongozi wa upinzani Mir Hossein Mousavi wakiandamana mjini Tehran.
Kufuatia kukithiri kwa mapigano, IGP Mwema apanga kuongeza ulinzi Tarime, Rorya.
Wasemavyo Wasikilizaji na Wasomaji
Kutoka Bungeni Spika Sitta amtetea Mhe. Selelii
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Sikiliza Taarifa ya Habari Radio Free Africa kila siku
Michael Jackson afariki dunia.
Na Los Angeles, Marekani.
Mwanamuziki wa mtindo wa Pop, Michael Jackson ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na IGP Saidi Mwema, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma kwa ajili ya kilele cha sherehe za Siku ya Serikali za Mitaa , wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Gaudencia Kabaka
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta